Sijafika

Ulalalala
Willy willy willy paul
Namba nane nane size 8
Kambua
Gloria muliro tena

Usinione narukaruka msela sijafika
Usinione nacheza ngoma msela sijafika
Usinione narukaruka dada sijafika
Usinione nacheza ngoma dada sijafikaaa
Usinone mimi kwenye sitolia sijafika
Usinione mimi kwenye tamutamu sijafikaaaa
Usinione narusharusha mateke sijafika
Usinione nawashawasha moto(motoooo)sijafikaa

Ooh sijafika sijafika sijafika
Ooh sijafika sijafika sijafika

Iyeee natafuta yesu maishani ooo
Iye iye iye natafuta yesu maishani oo
Iye ee natafuta yesu maishani oo
Iye iye iye natafuta yesu maishani ooo
Uuh msela
Eee ooo aaaah
Oooo eee ooo aaaah

Matime huwa nanung'unika nikipata chuki
Nami natafuta yesu wangu wa maishani
Kweli kafanya nishikilie baba lakini bado
Mimi kambua sijafika nahitaji uwepo wako
Ndio maana usiku na mchana ntakupa sifaaa eee (Wapi gloria)

Ilianza mwambie alesa ikafuata yesu iroma
Ikaja kibali na bado kasonga
Tulipotoa sitolia mwana walidhani tumefika
Kumbe ilibidi tufollow follow you
Nangojea matokeo yangu(bado nangoja matokeo)
Hata baada ya mpango wa kando sijafika
Tuma baba msaidizi kwangu na hata zaidi nataka nimwone yesu maishani mwangu

Iyee natafuta yesu maishani ooo
Iye iye iye natafuta yesu maishani oo
Iyee ee natafuta yesu maishani oo
Iye iye iye natafuta yesu maishani ooo
Uuh msela
Eee oooh aaaah
Oooh eee ooooh aaah

Hatujafika hatujafika maana tuko safarini sote
Hatujafika tuko safarini sote ee
Hatujafikaaa hatujafika mama
Hatujafikaa hatujafika eeeh
Mmh willy paul ae kambua ae
Size8 ae gloria ae hatujafika mama
Aa eaa tuko safarini aah teddy b

Iyeee natafuta yesu maishani ooo
Iye iye iye natafuta yesu maishani ooo
Iyee ee natafuta yesu maishani ooo
Iye iye iye natafuta yesu maishani oo
Uuh msela.
Eeeh oooh ooh aaah
Ooh oooh eeeh oooh aaah

Músicas más populares de Willy Paul

Otros artistas de Contemporary R&B