Chuchuma

Ohh uhh
Fi di galdem, fi di galdem
Whoo! (Saldido)
Baby chuchumaa (Teddy B)
Pozee

Hawa mabinti wanazua zua
Huku na kule wanavuruga sana
Hawa mabinti wananyongesha bisha
Huku na kule wanavuruga sana

Vera Sidika chuchuma chuchumaa
Huddah mama chuchuma chuchumaa
Wema Sepetu chuchuma chuchumaa
My African Nandy eeh

Anataka pick it up, pick it up
Baby nikiangusha pick it up, pick it up
Nikupe moto zaidi ya konki fire, pick it up
Njoo kwa bedi nikulishe gal pick it up
Mimi simba mwenye motion, chuchuma
Nakuna kwenye motion, chuchuma
Na kama ngumu mi napaka lotion, chuchuma
Mi ni mkunaji bwana slow motion, chuchuma
Panda riba nakupapapasa
Chuchuma nikutakase
Chukua penzi langu nikupakate
Eeeh nikupige mate

Vera Sidika chuchuma chuchumaa
Huddah mama chuchuma chuchumaa
Wema Sepetu chuchuma chuchumaa
My African Nandy eeh

My baby chunga usivunje mifupa, ukichuchuma
Nikupe kwenye kiti ama kitandani, toto chuchuma
Willy niko fire daka risasi
Baby shika koti nikukune basi
Usiwe mjinga ka kijana mnono mfupi
Na mwizi mround (funny boy)
Napenda unavyopepeta aii
Napenda unavyosokota, soko soko
Napenda unavyolia yeii eeh
Kila unapo chuchuma iye iye

Wananiita Pozee, rafiki ya upele
Leo utalia nikikata na wembe
Nikikata nawacha kidonda
Usijifanye hukumbuki mkunaji
Si nilikukuna ukamwaga na maji
Pozee, kijana bomba
Mwana f**k machine, fire machine
Swag machine, chwada machine

Vera Sidika chuchuma chuchumaa
Huddah mama chuchuma chuchumaa
Wema Sepetu chuchuma chuchumaa
My African Nandy eeh

Vera Sidika chuchuma chuchumaa
Huddah mama chuchuma chuchumaa
Wema Sepetu chuchuma chuchumaa
My African Nandy eeh

Chuchuma, chuchuma, chuchuma, chuchuma
Chuchuma, chuchuma, chuchuma, chuchuma

Músicas más populares de Willy Paul

Otros artistas de Contemporary R&B