Sinzia

Oh oh!
This is for the lovers in the house
Ndani ya nyumba Tafuta mpenzi lako
Mshike kwa mikono Ha, mwangalie ndani ya macho
Hmm, ah, mpeleke kando Namwambie

Commit a crime and I'll be your defender
Overpower me so that I surrender Hmm,
I wish I could be your saliva
So that I could taste your lips whenever
I envy your hipster
Vile inakushika kwa mapaaâE¦
Kwa kweli manzi umebarikiwa
Ndio maana tunaimba halleluyah
I wish I could be your shoe
I would have such a beautiful view
And if I was the slit on your dress
My goal in life would be to aim for the highest
If only I could be your body lotion
I would walk with undivided devotion
Kila siku nakufikiria Ndio maana nasinzia

Nasinzia nikikuwaza (oh oh)
Nasinzia nikikuwaza (oh oh)
Miaka rudi, miaka nenda (oh oh)
Nasinzia nikikuwaza (oh oh)
Nasinzia nikikuwaza (oh oh)
Nasinzia nikikuwaza (oh oh)
Kila siku ya calendar (oh oh)
Nasinzia nikikuwaza (oh oh)

Chochote utafanya nitafuata
Nitachora nane, ukichora saba
And I promise I will never be a player
You are my red card, no longer middlefielder
Be my wife and I'll be your Bogi Benda
And let no man try to lay asunder
Nawakijaribu kutu-lay us asunder
Mungu mmoja nitawapiga ngeta
Anakama ungekuwa ngoma
Ningependa kukuwa amplifier
I will amplify and equalizer
Mpaka hata matuta zitachina

Nasinzia nikikuwaza (oh oh)
Nasinzia nikikuwaza (oh oh)
Miaka rudi, miaka nenda (oh oh)
Nasinzia nikikuwaza (oh oh)
Nasinzia nikikuwaza (oh oh)
Nasinzia nikikuwaza (oh oh)
Kila siku ya calendar (oh oh)
Nasinzia nikikuwaza (oh oh)

This comes from the deepest part of my heart
(The deepest part of my heart)
This comes from the empty hole in my soul
(The empty hole in my soul)
This comes from the highest point of my spirit (Spirit)
If you know what I am saying Then you will feel it
(Feel it)

This comes from the deepest part of my heart
(The deepest part of my heart)
This comes from the empty hole in my soul
(The empty hole in my soul)
This comes from the highest point of my spirit (Spirit)
If you know what I am saying Then you will feel it
(Feel it)

Nasinzia nikikuwaza (oh oh)
Nasinzia nikikuwaza (oh oh)
Miaka rudi, miaka nenda (oh oh)
Nasinzia nikikuwaza (oh oh)
Nasinzia nikikuwaza (oh oh)
Nasinzia nikikuwaza (oh oh)
Kila siku ya calendar (oh oh)
Nasinzia nikikuwaza (oh oh)

Nasinzia nikikuwaza (oh oh)
Nasinzia nikikuwaza (oh oh)
Miaka rudi, miaka nenda (oh oh)
Nasinzia nikikuwaza (oh oh)
Nasinzia nikikuwaza (oh oh)
Nasinzia nikikuwaza (oh oh)
Kila siku ya calendar (oh oh)
Nasinzia nikikuwaza (oh oh)

Músicas más populares de Nameless

Otros artistas de Pop rock