Playful Love

Mellow

Ywakatalia langu hoodie, akishuku kutanyesha
Ye ywataka nimfate
Mlangoni pangu hodi, anagonga kijificha
Kila mara ywanitani

Twajifanya watoto, (Jahera Na)
Playful love (Baby Atoti Na)
Twajifanya watoto, (Jahera Na)
Baby love (Baby Atoti Na)

Niko kazini kwenye sitting, pale zoom kwenye meeting
Anjifanya hajui
Kuntekerenya kuniskuma ,kila mara ywanivuta
Huyu wangu bi ni nini

Twajifanya watoto, (Jahera Na)
Playful love (Baby Atoti Na)
Twajifanya watoto, (Jahera Na)
Baby love (Baby Atoti Na)

Ywanifwata kila time, walai si mind
Hatambui me time, kwake mmh mmh
sunday to sunday, Bado tunavibe
She my toto Twajifanya watoto …

Twajifanya watoto, (Jahera Na)
Playful love (Baby Atoti Na)
Twajifanya watoto, (Jahera Na)
Baby love (Baby Atoti Na)

Kama wewe wangu, (Tugo Kodi)
sitaki kukomaa (Tieko Chonga)
Na utoto wetu (Oroko Wiya) ,usiwai tukoma
Jamii na ukoo wetu, (Tugo Kodi)
wataishi kusema (Tieko Chonga)
Wajukuu wangu walinitangulia kukomaa
Wajukuu wangu walinitangulia kukomaa

Músicas más populares de Mellow

Otros artistas de French alternative rock