Chi Bonge

Kama kupenda maradhi
Niko hoi taabani
Na Kama kutangaza nakupenda Kosa nifungwe
Kama kupenda upofu
Me sioni me sisikii
Ndo maana natangaza nakupendaa
We mwisho wangu mie
Sichepuki ma Kona kona
Au upo na niugue
Ukifika napona pona
Na rangi yako black me nakuona white
We kifupi nyundo nakuonaga munahgaa
Na nakuona Motoo mwepesi mmh aah

Japo Chi Chi Chibonge
Ah Chi Chi Chi Chibonge
Chi Chi Chibonge
Ah Chi Chi Chi Chibonge

Ah Minyama tu
Akipita Minyama He
Anatingisha Minyama tu
Vile akipita Minyama (Hee)
Ah Minyama tu
Akipita Minyama He
Anatingisha Minyama tu
Vile akipita Minyama
Hee
Minyama

Stone boy
Shepu ya mabonde mabonde
Nimeridhia
Ntakumiliki usikonde
Hataa nkifulia
Oooh Bebi unashow za ng'ombe mbuzi wanakimbia
Nauosha hu mwogo wa jang'ombe Leta sufuria
Baby usijipe stressi
We kibonge mwepesi
Wa ruka mpaka sarakasi
Samba Kareti unajua
Hips kiuno shangaa una macheni macheni (Baby you like Donosso)
Mdomo lips nyembamba kiuno chako feni (Girl i gotta make you know so)

Chi Chi Chibonge
Ah Chi Chi Chi Chibonge
Chi Chi Chibonge
Ah Chi Chi Chi Chibonge
Chibonge
Ah Chi Chi Chi
Chibonge
Chi Chi Chibonge
Ah Chi Chi Chi Chibonge

Ah Minyama tu
Akipita Minyama He
Anatingisha Minyama tu
Vile akipita Minyama
Hee
Minyama

Mwenzako me napendaga vibaya
Baya Baya
Mwenzako me naugonjwa wa moyo
Moyo moyo
Mwenzako me napendaga vibaya (Baby you like Donosso)
Mwenzako me naugonjwa wa moyo (Girl i gotta make you know so)
Abaa aba aba aba

Músicas más populares de Marioo

Otros artistas de