Sina
Wasafi
Ayo Laizer
Hhhm hhhm
Ujana ni maji ya moto
Yashaniunguza mi nataketea
Niliwakana watoto wangeniuguza sikutegemea
Na kama dunia tambala langu lishatoboka
Sina hata pa kulala nakesha kwa Kimboka
Wale marafiki niliokula nao
Na kunisifu sasa siwaoni
Eti sina kiki siendani nao kwa kuwa sina kitu mfukoni
Kama pesa nilipata nikadharau hadi wazazi
Nikakesha kula bata najisahau
Na kumwaga radhi
Oh sina(oh yani sina)
Oh sina(wa kunipa imani)
Oh sina(oh sina mama)
Oh sina
Iyeye
Oh sina(hata wa kunifariji)
Oh sina(kunipa moyo niendelee)
Oh sina(Oooh sina mama)
h sina
Oooiyee
Hhmm
Asiyefunzwa na mama hufunzwa na dunia
Misemo ya wahenga
Family ndugu lawama
Sikutaka karibia kwangu
Nipokee
Ponda mali eti kufa kwaja
(Hehehe)
Kumbe nivukako mbali navunja daraja
Jua likizama nafsi nanyongea mawazo
Nani nimpe lawama
Peke yangu naongea hamnazo
Kama pesa nilipata nikadharau hadi wazazi
Nikakesha kula bata najisahau
Napumua karadhi
Oh sina(ooh yani sina)
Oh sina(wa kunipa imani)
Oh sina(oh sina)
Oh sina
Iyeye
Oh sina(hata wa kunifariji)
Oh sina(kunipa moyo niendelee)
Oh sina(Oh sina mama)
Oh sina
Oiye
Pesa pesa
Pesa Pesa
Pesa Pesa
Pesa pesa
Pesa pesa
Pesa mfano wa poto (Pesa pesa)
Zinapepea sare ndo sindano (Pesa pesa)
Chunga yasije majuto (Pesa pesa)
Tena tekea igeni mifano