Shulala [Album]

Rajabu Abdul Kahali

Kwanza upendo Baraka
Nikuchunge Nitajisumbua
We jichunge tu mwenyewe
Mmh
Nasikufunzwa taraka
Mangapi ulinikosea ila bado nipo nawe
Mmh

Ata waniite zoba waseme umeniroga
Kukuacha ndio siwezi nimeridhia
Ila she is my number moja wengine watangoja
Ah niongezee mapenzi niizidi kolea

Pale nnapokuona shulalala shula
Yarabi moyo shulalala shulaa
Eh pale nnapo kusikia shulala shula
Shula wangu shulalalashula

Mavin
Wololo lolo yeah Korede Bello
Want you to know that I'll will be there I'll will be there
Girl I will be there till the end oh
So don't let baby
Don't let nobody come interfere come interfere
Let them say what they want to say sando

Shuba bochu beyanju yelele
Kuumanyeu yelele
Kojubarobuu baamaje koyau yelele
Girl I promise you forever ever
Never leave you never ever
Where you go I will go I'll goooo

Pale napomuona aa ehi shulalalaa shula
Jamini moyo wangu shalala la la shula
Pale ninapo musikia shulala shula
Yarabi moyo wangu shulala laa shula
Yarabi moyo

Aaah unizalie ka cute ka cute Katifah Dagote
Nikuvalishe na misuit misuit upendeze tutoke
Tukomeshe wenye chuki mamluki lakusema wakose
Tulisakate uzuki ma uzuki na wavimbe wapasuke
Wewe hodari mtunza siri zangu hata nikiwa sina
Wanivumilia na kuamini nitapata
Tafadhali nilindie roho yangu cha kukupa sinaa
Tena nakuapia haki ya mungu sitakuacha

Na kama ukinipenda sana nitaringa nitaringa na wewe nitaringa
Nitaringa nitaringa na wewe nitaringa
Nitaringa nawee nitaringa nitaringa na wewe nitaringa
Nitaringa na wewe
Nitaringa Baby ooh nitaringa nitaringa na wewe nitaringa
Nitariiiih nitaringa nitaringa na wewe nitaringa
Nitariiiih nitaringa nitaringa na wewe nitaringa
Nitaringa nawee nitaringa nitaringa na wewe nitaringa
Wasafi Records
Oooh yeah ringa ringa eeh
Nitaringa ringa eeh ringa ringa eeh ina wee
Aah aah ringa ringa eeh me na wee
Eeh nitaringa ringa ringa eeh
Heheh harmo love

Curiosidades sobre la música Shulala [Album] del Harmonize

¿Quién compuso la canción “Shulala [Album]” de Harmonize?
La canción “Shulala [Album]” de Harmonize fue compuesta por Rajabu Abdul Kahali.

Músicas más populares de Harmonize

Otros artistas de Afrobeats