Mpaka Kesho

Rajabu Abdukahal Ibrahim

Hello, Hello baby
Mmmh mmmh

Natamani niandike barua na niitume kwako
Ila nahisi hutaisomaa, utaikataa
Hata simu nitajisumbua, kupiga namba yako
Maana hata ukiiona, utaikata

I wish yawe ndoto, haya ninayo yapitia
Ama nirudi utoto imenisonga dunia
Eti kurwa bila ndoto, hivi ni wapi ntaanzia?
Kulia bila kushoto, sijawai kusikia

Eeh, imagine siwezi kukuota (Aaah aah aah)
Maana ata usingizi sina (Sinaa)
Mwenzako wataniokota (Aaah aah aah)
Maji yamenizidi kina (Mwenzenu mimi)

Mpaka kesho (eeh eeh eeh)
Mpaka kesho (umeniganda mawazoni)
Mpaka kesho (bado nakuwazaa)
Mmh mmh eeh
Mpaka kesho (Yaani mawazo kizunguzungu)
Mpaka kesho (Insta napaona pachungu)
Mpaka kesho (Mateso nihurumie) (bado nakuwaza)

Ah! Nishajaribu kudanga nipoteze mawazo
Huenda nitaenjoy
Kumbe najivua utu na heshima
Kwa watabibu waganga
Nijue nini chanzo, mwenzako nipo hoi
Ama nyota yangu butu, makali sina

Eeeh, zile nadhiri
Kwamba utaniweka moyoni zinajirudia
Mie ndio moja we mbili
Mbona sasa sikuoni, umenikimbia
Mie mwenzako ka sabuni kichelema (Siezi ata kupangusa ah ah)
Jeraha la penzi nachechema (Sina furaha ata ya kunusa ah ah)
Yaani umeniacha dillema (Siwezi kupanda kushusha ah ah)
Kumbe mapenzi vitaa CCM na Chademaa (Firauni na Musa ah ah)

Eeh, imagine siwezi kukuota (Aaah aah aah)
Maana ata usingizi sina (Sinaa)
Mwenzako wataniokota (Aaah aah aah)
Maji yamenizidi kina (Mwenzenu mimi)

Mpaka kesho (eeh eeh eeh)
Mpaka kesho (umeniganda mawazoni)
Mpaka kesho (bado nakuwazaa)
Mmh mmh eeh
Mpaka kesho (Yaani mawazo kizunguzungu)
Mpaka kesho (Insta napaona pachungu)
Mpaka kesho (Mateso nihurumie) (bado nakuwaza)

Wa kumove on nitakuwa mie (Ooh siwezi)
Yaani ipite siku nisikufikirie (Ooh siwezi)
Kuku unfollow nitaweza mie (Ooh siwezi)
Kwenye page yako nisichungulie eeh (Ooh siwezi)
Eh

Curiosidades sobre la música Mpaka Kesho del Harmonize

¿Cuándo fue lanzada la canción “Mpaka Kesho” por Harmonize?
La canción Mpaka Kesho fue lanzada en 2020, en el álbum “Afro East”.
¿Quién compuso la canción “Mpaka Kesho” de Harmonize?
La canción “Mpaka Kesho” de Harmonize fue compuesta por Rajabu Abdukahal Ibrahim.

Músicas más populares de Harmonize

Otros artistas de Afrobeats