Nimfanyaje

Florah Mafupa

Nimfanyaje, nimfanyaje
Nimfanyaje, nimfanyaje
Nakukumbusha ulisema
Hayatakua kwa muda
Tena ulikazia palee
Nikikuwazia mema
Moyo unaniuma
Sio kwa ulivyonitenda oouuoh
Mwili umechoka
Akili imechoka
Nafsi imechokaaaa
Hata kukuambia navyojisikia kwako haina manaa
Umeshanishusha unavyoniona kwako hadhi sina
Nahenyeka me aah
Unanitesa
Nikiwaza kwenda mbali
Nahisi kama nakuhitaji come on
What's going on
Nikifanya maamuzi
Nikikuona nabadilika oh hapo hapo
Najiulizaaa
Nimfanyaje nimfanyaje
Ananiumiza
Me bado nampenda
Ooooh ananiumiza,ananiliza
Me bado nampenda
Ninajiona mjinga
Ninajiona sifaaai
Najisikia vibaya aaah
Na mambo unayofanya aah ni kama hukunijua aaah inaniuma aah
Sitaki nijute
Kukutana nawe
Hata nizunguke ntakwona wewe
Acha niumie moyo niuguze mpaka nitulie ooh mwenyewe
Nikiwaza kwenda mbali nahis kama nakuhitaji come on wats going on
Nikifanya maamuzi, nikikuona nabadilika oohh
(hapo hapo)
Najiulizaaa
Nimfanyaje nimfanyaje
Ananiumiza
Me bado nampenda
Ooooh ananiumiza ,ananiliza
Me bado nampenda
Nimfanyaje, nimfanyaje

Músicas más populares de Fee

Otros artistas de Alternative rock