Unachezaje

NASIBU ABDUL JUMA ISSAACK

Ladies and gentleman
Now the moment you've all been waiting for
The world famous eh eh
Zombe, oh s2Kizzy, baby

Aga mfukoni nina kiti (mati)
Mkononi kai (mati) nasikia kuna kiki (wapi?)
Nije kujimwaga (kati) oh, haitoshi
Kalitaka Simba la baba kaletewa oh my gosh
Sasa kazima anataka kubebewa oh, haitoshi
Kalitaka Simba la baba kaletewa oh my gosh
Sasa kazima anataka kubebewa

Nionyeshe unachezaje (unachezaje)
Unachezaje (unachezaje)
Kwani unachezaje (unachezaje) unachezaje
Asa nionyeshe unachezaje (unachezaje)
Unachezaje (unachеzaje)
Kwani unachezaje (unachеzaje)
Unachezaje (unachezaje)

Ilikwa mbili 4, 4 pale pale (pale pale)
Dawa ya show, show, show
Nahisi ndale (nahisi ndale) peleka
Vuta taratibu songa pupa
Dereva shusha
Hapo mbele kwenye kuta
Ehhuu ni mti gani (wa Mchongaoma)
Ukiukata (haukatiki)
Sisi ni mti gani (wa Mchongaoma)
Wakitukata (hatukatiki)

Nionyeshe unachezaje (unachezaje)
Unachezaje (unachezaje)
Kwani unachezaje (unachezaje) unachezaje
Asa nionyeshe unachezaje (unachezaje)
Unachezaje (unachezaje)
Kwani unachezaje (unachezaje)
Unachezaje (unachezaje)

Asa po po li po li po po po
Po po li po li po la
(Po po li po li po po po
Po po li po li po la)
Po po li po li po po po po po li po li po la
(Po po li po li po po po
Po po li po li po la)
Waambie chombo (kinapepea)
Eh, chombo (kinapepea)
Huwaga chombo (kinapepea)
KIle chombo (kinapepea)

Aweh acha
Aweh ah

Huo mnazi (unakatika) mnazi (unakatika)
Mama mnazi (unakatika) ona mnazi (unakatika)
Ukitaka kukatika hukatika kati kati katika
Huo mjumba (unabomoka) mjumba (unabomoka)
Mama mjumba (unabomoka)
Ona mjumba (unabomoka)
Ukitaka kubomoka hubomoka bo bo bo
Bo bo bo bo

Curiosidades sobre la música Unachezaje del Diamond Platnumz

¿Quién compuso la canción “Unachezaje” de Diamond Platnumz?
La canción “Unachezaje” de Diamond Platnumz fue compuesta por NASIBU ABDUL JUMA ISSAACK.

Músicas más populares de Diamond Platnumz

Otros artistas de Electro pop