Salima

Je je je, ah the VOA
Tuddy Thomas wasafi

Salima, Salima, oh najua maisha yako
Yaliyumba pale ulipo wapoteza wazazi wako
Yule Salima wa jana sio Salima wa leo
Amekua wa kujinania na kujikata tamaa
Iko wapi furaha yake alivyokuwa nayo mwanzo
Iko wapi furaha yake alivyokuwa nayo mwanzo
Salima nakusanze kasuru
Kagonga wekuye tenga tinyanya
Salima chenisange nguya
Yena nasoma nawe mwengee
Salima mi ni sange yule yule
Milie soma nawe Mwenge zimeyayuka ndoto zako
Ulizo kuwa nazo Salima

(Oh, Salima) mie mwenzako nakupenda
(Oh, Salima) mie nataka niwe wako
(Oh, Salima) tuwe na wana tujejenga
(Oh, Salima) niwe baba wa watoto
(Oh, Salima) mie mwenzako nakupenda
(Oh, Salima) mie nataka niwe wako
(Oh, Salima) tuwe na wana tujejenga
(Oh, Salima) niwe baba wa watoto
(Salima)

Naomba hiyo bahati ya kuishi nawe
Idondokee kwangu isiende kwa mwingine
Yasije kuwa kama yale ya mla nawe hafi nawe
Yasije kuwa kama yale mla nawe hafi nawe
Usijikate tamaa
Kuna wengi wana shida kuliko zako Salima
Wanaamini kupitia yule msemo
Wa ridhiki hapo mbinguni kwake
Wanaamini kupitia yule msemo
Wa ridhiki mafungu saba Salima, oh

(Oh, Salima) mie mwenzako nakupenda
(Oh, Salima) mie nataka niwe wako
(Oh, Salima) tuwe na wana tujejenga
(Oh, Salima) niwe baba wa watoto
(Oh, Salima) mie mwenzako nakupenda
(Oh, Salima)
Mie nataka niwe wako (moyo wangu mama)
(Oh, Salima)
Tuwe na wana tujejenga (oh, mama)
(Oh, Salima) niwe baba wa watoto
(Salima)

Moyo unatamani
Yaani kuwa kitabu ufungue (ufungue)
Usione jinsi gani unavyonifanya niugue
Eh zenda huri nana
Uwawish uwawi nashisee
Mpaka kuherera baba utungamizi
Japo niulimishe utamu
Utamu moyo wangu mi kupendwa nawe utamu
Sa nini tatizo mami basi sema nielewe
Ah, Salima, oh oh (oh aye)
Salima, eh eh (oh aye)
Salima, oh oh (oh aye) salima, eh eh eh

(Oh, Salima)
Mie mwenzako nakupenda (nakupenda sana)
(Oh, Salima) mie nataka niwe wako
(Oh, Salima) tuwe na wana tujejenga
(Oh, Salima) niwe baba wa watoto (mama)
(Oh, Salima) mie mwenzako nakupenda (oh oh)
(Oh, Salima)
Mie nataka niwe wako (moyo wangu mama)
(Oh, Salima)
Tuwe na wana tujejenga (oh, mama)
(Oh, Salima) niwe baba wa watoto
(Salima)

I feel that I'm in love with you
I feel that my life is you
I feel that you're the only one I need
I'm gonna trust baby, I'm not perfect but
I'm going my all the way
And I just want to be with you
Me and you, forever and ever

(Oh, Salima) mie mwenzako nakupenda
(Oh, Salima) mie nataka niwe wako
(Oh, Salima) tuwe na wana tujejenga
(Oh, Salima) niwe baba wa watoto
(Oh, Salima) mie mwenzako nakupenda
(Oh, Salima) mie nataka niwe wako
(Oh, Salima) tuwe na wana tujejenga
(Oh, Salima) niwe baba wa watoto
(Salima)

Wako watoto kedekede na watoto kedekede
Shemeji mchange wandese atanisaidia
(Salima, Salima, Salima)

Músicas más populares de Diamond Platnumz

Otros artistas de Electro pop