Roho yangu

Dena Mwana

[Paroles de "Roho yangu"]

Sijuwe nitete ye je
Kwani maneno ya mimenipita aah
Nguvu na Ukwabwa wa pendo lako

Huwezi ku pimwa
Hujuwa niya zangu uuh
Baba hujuwa uga wangu ouuh
Maneno yangu machache kukueleza
Upendo wangu kwako

Sikiliza roho yangu baba
Moyo wangu hukuimbiya
Sikiya nyembo ya upendo ooouh
Wa mutoto uliye mkombowa aah
Nita chukuwa maneno yangu mabovo
Kutangaza ukubwa wako
Kwa kweli siwezi
Kusema chochote
Baba sikiya Roho Yangu
Aaaaaaaah
Aaaaaaah ouh aaaah
Sasa kama nvuwa
Maneno yangu yangu tiririka aah
Ninge Kuwa na minugu mikononi mwangu
Singeweza kusema
Ila ndani ya roho yangu ooouh
Baba hujuwa yote eiiii
Aksante kwa maisha ukweli njiya
Baba ubarikiwe

Sikiliza roho yangu baba
Moyo wangu hukuimbiya
Sikiya nyembo ya upendo ooouh
Wa mutoto uliye mkombowa aah
Nita chukuwa maneno yangu mabovo
Kutangaza ukubwa wako
Kwa kweli siwezi
Kusema chochote
Baba sikiya Roho Yangu

Sikiliza roho yangu baba
Moyo wangu hukuimbiya
Sikiya nyembo ya upendo ooouh
Wa mutoto uliye mkombowa aah
Nita chukuwa maneno yangu mabovo
Kutangaza ukubwa wako
Kwa kweli siwezi
Kusema chochote
Baba sikiya Roho Yangu
Humm
Kwa kweli siwezi
Kusema chochote
Baba sikiya Roho Yangu

Baba baaaaaba
Baaaaaba baaaaaaaaaaaaaaaa
Baaaaaaaaa ah
Baabababababa
Kweli siwezi
Kusema chochote eii
Baba wangu
Babaaa
Kwa kweli siwezi
Sema chochote
Sikiya Roho Yangu

Músicas más populares de Dena Mwana

Otros artistas de Gospel